ZIARA YA KATIBU MKUU DKT. JINGU GEREZA LA SEGEREA DAR ES SALAAM

Picha zote na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WAMJW Na Mwandishi Maalum Serikali imewahakikishia wafungwa na mahabusu nchini kuendelea kutatua changamoto zinazowakabili hususani zinazohusu masuala ya Ustawi wa Jamii wakiwa magerezani kwa kuzingatia taratibu zote kama ilivyo kwa makundi mengine. Hayo yamebainishwa leo jijini Dar Es Salaam na Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Idara Kuu ya Maendeleo